AI TRADING BOT

About Course
KARIBU
hongera kwa kufanikiwa kuiingia. hapa utajifunza namna mbali mbali za kutengeneza kipato kwa muda wako wa ziada ambao hauathiri shughuli zako za kawaida unazofanya kila siku.
fahamu kua dunia kila kukicha huwa inabadilika kwa kasi sana, na sasa katika upande wa sarafu za digital (cryptocurrency/virtual assets) unaweza ukatrade kwa kutumia Artificial intelligence (AI) na kujitengenezea faida ya kila siku bila ya kutumia nguvu nyingi, hata kama haujui kabisa kutrade basi hapa utajifunza tu namna ya kutumia robot.
somo hili utajifunza taratibu kuanzia mwanzo hadi mwisho jinsi ya kutumia AI Robot kuanzia mwanzo hadi kuwa mtaalamu kabisa.
baadaya kuwasaidia wanafunzi wengi na kufikia malengo yao basi hata nawewe unaweza kuwa mmoja wao.
karibu ujiunge nasi kwenye somo hili.